Baada ya kuweka rekodi mpya ‘Views Milioni 1 ndani ya Saa 15’ Diamond Platnumz ameandika Maneno Haya
Staa wa Bongo Fleva kutoka Tanzania Diamond Platnumz amefanikiwa kuweka Rekodi mpya ya Watazamaji wa video za wasanii kwenye mtandao wa Youtube baada ya video yake kutazamwa na watu zaidi ya Milioni 1 ndani ya Masaa 15.
Hii video ya Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage ‘Hallelujah’ Iliyotoka usiku wa Sep 28, 2017
Diamond amesema Asante kwa Mashabiki wake kupitia Instagram kwa Kuandika



nice
ReplyDelete