Ema the boy katoweka katika mazingira ya kutatanisha.. siku 5 adi sasa

Ema the boy katoweka katika mazingira ya utata

Moja ya stori inayosambaa kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu kutoonekana kwa Producer wa Bongofleva Ema The Boy ambaye inadaiwa tangu September 10, 2017 ikiwa leo ni siku ya tano hajaonekana na hafahamiki aliko kwa sababu hata simu zake hazipatikani.
watu wasiojulikana washutumiwa kwa upotevu wa ema the boy 

Comments