EXCLUSIVE: MFAHAMU MTANZANIA ALIEACHA KAZI BENK YA DUNIA

Jeffrey Jessey ni kijana wa Kitanzania ambaye baada ya kumaliza masomo yake aliajiriwa na Benki ya Dunia nchini Tanzania lakini aliacha kazi na kuanza kushona nguo akisema alipenda kushona nguo kwa sababu ni kitu alichokipenda.
Tangu aache kazi hiyo, sasa anamiliki kampuni inayoitwa Speshoz na ameajiri watu wengine ambao anafanya nao kazi.

Comments