Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe imeripotiwa kuungua moto na kuteketea, nyumba iliyoungua ipo Mwandiga Kigoma.
Moto huo umeripotiwa kuwa ulianza leo kuanzia saa 10 jioni 255online Tv na Www.255online.ml zinaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hizi ili kuweza kufahamu chanzo cha moto.



Comments
Post a Comment