![]() |
| pichani ni mo omer |
Mo Omer baada ya kutengeneza simu hiyo ambayo anasema haijatofautiana chochote na smartphone za makampuni mengine ya simu kama i-phone na Samsung ameanza kutengeneza simu hizo na kuziuza kwa Dola za Marekani 180 ambayo ni kama Tsh 432, 000.
“Kutengeneza simu sio suala gumu au la kuchanganya kama watu wengine anavyofikiria na hadi sasa nimeshauza simu hizi maeneo mbalimbali ya Afrika kama Nigeria, Algeria na mengineyo.” – Mo Omer

Comments
Post a Comment