WATU WAWILI WAKAMATWA NA POLISI KWAKOSA LA KUMUOMBEA MH. TUNDU LISU


Kamanda wa polisi wilaya ya kinondoni, Mr Murilo Jumanne, ambaye alikuwepo uwanjani hapo amesema watu hao walikamatwa jana siku ya jumapili mnamo saa 3:40 

pia kamanda huyo wapolisi ameieleza 255ONLINE kwamba pamoja na serikali kupiga marufuku maombi ambayo yalitaka kufanywa na masheikh watu hao wawili wamekiuka shelia ya nchi na jeshi la polisi na kwa sasa watu hao wanashikiriwa na polisi kwa uchunguzi zaidi 

Comments