WATU ZAIDI YA ELFU WAFALIKI DUNIA KATIKA VITA YA DAWA ZA KULEV

Zaidi ya watu 3,800 waliotuhumiwa kutumia au kuuza madawa ya kulevya wameuwawa na polisi baada ya kuanzishwa kampeni ya vita dhidi ya dawa za kulevya na Raisi Rodrigo Duterte wa Ufilipino.
Mashirika ya kutetea haki za binadamu wamelalamika kuwa mauaji ni kinyume ya sheria.Lakini kwa biashara za huduma ya mazishi, vita hio ni faida kubwa.  #dawazakulevya #Ufilipino

Comments