PICHA: Mabilionea 7 Nigeria waliooa wasichana sawa na watoto wao

Image result for old and young marriage




Wanaume wenye uwezo mkubwa kifedha nchini Nigeria wamezoeleka kupenda kuwaoa wasichana wenye umri mdogo sawa na watoto wao, hususani mabillionea hao hupenda kuwaoa wanamitindo.


1. Adams Oshiomole na mke wake Lara



gavana wa zamani Adams Oshiomole alifunga ndoa na mwanamitindo maarufu Lara wakati mwanamitindo huyo akiwa na umri wa miaka 25 na gavana huyo akiwa na miaka 63, harusi yao ilifanyika Edo State na kuvutia watu wengi.

2. Alhaji Rasaq Okoya na Sade Okoya



Mfanyabiashara tajiri Alhaji Rasaq Okoya mwenye umri wa miaka 59 ni miongoni mwa matajiri waliofunga ndoa na msichana mwenye umri mdogo wa miaka 21 na kubahatika kupata nae watoto wanne.


3. Susan Hart na mume wake  Olorogun Sunny Kuku


Mwanamke Susan Hart aliyeshinda taji la urembo nchini Nigeria 1994 alifunga ndoa na mkurungezi mkuu wa hospitali ya Eko Daktari Olorogun Sunny Kuku

4.Musa na Caroline Danjuma


Mwaka 2004 billionea Musa Danjum alikuwa na umri wa miaka 54 alifunga ndoa na muigizaji kutokea Nigeria Caroline Ekanem aliyekuwa na umri wa miaka 24 na walibahatika kupata watoto watatu.

5. Rotimi Makinde na Banke OyelamiRelated image
Banke Oyelami aliyekuwa na umri wa miaka 23 alishawahi kuwa mshindi wa Miss Osun State nchini Nigeriaalifunga ndoa na mwanasiasa Banke Oyelami aliyekuwa na umri wa miaka 45.

6. Prince Sunny Aku na Dabota Lawson


Dabota Lawson inasemakana kuwa alikuwa na umri wa miaka 20 alipofunga ndoa na mfanyabiashara bilionea Prince Sunny Aki aliyekuwa na umri wa miaka 50 na harusi hiyo kufanyika December 13, 2014 katika ukumbi wa Sky Terrace chini Niger.

7.Chief Emmanuel Iwuanyanwu na Frances Chinonyerem
Image result for 7.Chief Emmanuel Iwuanyanwu na Frances Chinonyerem
Billionea Emmanuel Iwuanyanwu alifunga ndoa  ya pili na mwanamke wa ndoto zake  Frances Chinonyerem Enwerem mwenye umri wa miaka 26,wakati huo Emmanuel Iwuanyanwa alikuwa na umri wa miaka 72.





Comments